you are here: About Us » Vision » Mpango Wa Maono (Kiswahili)
jump to menus
JESHI MOJA: Tunaliona ni Jeshi linalomwinua Mungu na Kujazwa na Roho katika Karne ya 21 – tukijisadikisha na wito wetu, Twende Mbele Pamoja
Tuta...
zama ndani zaidi katika maisha yetu ya Kiroho
ungana kwa Maombi
watambua na kuwaendeleza viongozi
ongeza hali ya kijitegemea na kujinyima
MISHENI MOJA: Katika ulimwengu wa watesekao, waliokata tamaa, wapweke, walioporwa na kupoteza, kuwakia kwa Upendo kwa njia yoyote ile
sisitiza huduma yetu ya mchangamano
wakia na kuwahusisha Vijana na watoto
watetea na kuwahuduma wasiojiweza
kutia moyo uvumbuzi katika Misheni
UJUMBE MMOJA: Kwa ujumbe wa Yesu wenye kufanya Mabadiliko, unaoleta uhuru, tumaini na uzima
mwasilisha Kristo bila aibu
thibitisha imani yetu katika mabadiliko
fanya uinjilisti na ufuasi kwa mafanikio
toa nyezo bora za kufundishia
Rasilimali
The Salvation Army International
www.salvationist.org
All the World
Revive
Tell a Friend
Contact Us
© 2013 The Salvation Army